Zlatan kusaini kuchezea Ac Milan hadi miaka 40

Mshambulizi  wa Sweeden Zlatan Ibrahimohic  anapanga kusaini mkataba wa mwaka mmoja zaidi na club ya Ac Milan hatua itakayomfanya kucheza soka akiwa na miaka 40.

Zlatan alisaini mkatba wa mwaka mmoja mweizi agosti wa dollar million 7 baada ya kumaliza mkataba wake na club ya LA GALAXY nchini Marekani.

kufikia sasa Zlatan amecheka na nyavu musimu huu mara 5 katika mechi 7 ambazo amecheza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *