Wizkid na Fire boy watikisa tuzo
Usiku wa kuamkia leo Jumatatu February 22, 2021 nchini Nigeria kulikuwa na zoezi la utoaji wa Tuzo maarufu nchini humo za The Headies, msanii @wizkidayo ameendelea kufunika
Wizkid aliibuka mshindi wa vipengele pendwa vya Artist of the Year na Viewers Choice Award.
Msanii mwingine alishinda tuzo nyingi usiku wa kuamkia Leo, Ni @fireboydml ambapo ameshinda tuzo 4.
Tuzo hizo ni za 14 kutolewa tangu zianzishwe rasmi, Tazama washindi wote wa tuzo hizo hapa chini