Wimbo wa lius Fonsi na Daddy Yankee waweka recodi mpya Duniani

Unaukumbuka wimbo wa Despacito, uliotoka miaka mitatu iliopita wimbo huo kwa sasa umeweka recodi mpya duniani mwaka huu kando na kuwa wimbo uliotazamwa saana duniani.

Despacito imefikisha views billion 7 kwenye mtandao wa youtube na kuendeleza rekodi ya wimbo uliotazamwa sana youtube.

 Kulingana na utafiti ni kama kila mtu hapa duniani ametazama wimbo wa Despacito, kwani kwa sasa hapa duniani idadi ya watu ni kama billioni 7.8.

 Nyimbo zingine ambazo zimetzmawa sana duniani pale youtube

2. BABY SHARK DANCE- PINKFONG  – 6.8 BILLION

3. ED SHEERAN – SHAPE OF YOU – 5.01

4.SEE YOU AGAIN- WIZ KHALIFA- 4.7 BILLION

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *