Wimbo wa Chomeka wa chomolewa YouTube

Wimbo mpya wa Susumila kwa jina ‘Chomeka’ ft Nadia Mukami umetolewa kwa mtandao wa YouTube ,hii ni kutokana lalama kutoka kwa msanii Nesdar ambaye adai kua wimbo huo umefanana na wimbo wake Kwa jina ‘chekecha ambao achiliwa miezi miwili iliyopita,msanii uyo katumia ujumbe mkurugenzi wa YouTube nakuwasilisha madai hayo, upande wa msanii Susumila aliyezungumzia swala ilo Jillo ambaye ndo ‘Digital Manager’ wa Susumila akizungumza na Gates mgenge kupitia kipindi cha mashav university amedai kuwa wapo mbioni kuakikisha wimbo uo natarudi YouTube.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *