Waziri wa afya Afrika Kusini na mkewe wapatikana na Corona

Waziri wa afya nchini Afrika Kusini, amesema yeye na mkewe wamethibitishwa kuambukizwa ugonjwa wa Korona. Zweli Mkhize alisema, yeye na mkewe wamejitenga na akaeleza matumaini kuwa watapata nafuu hivi karibuni.

Mkhize ndiye waziri wa tano wa serikali ya Afrika Kusini kuambukizwa virusi vya Korona.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *