Wanao lalama wakikosa nafasi ya shows wanapoteza muda wao

Msaani Cityboy amesema kuwa hatawai kulalama walakuwakashifu wanaoanda show za pwani endapo jina lake litakosekana kwenye tamasha hizo

Mapema leo kwenye show la kijanja na Ken1GB na Makku City boy amesema haoni umuhimu wakulalama.

“wanachopswa kufanya wasaani ni kupiga kazi na kuwa na malengo yao mimi binafsi naamini its not all about on show kuna njia nyingi mabazo wasaani wanaweza kupush kazi zao” amesema City Boy

Cityboy amendelea kusema kuwa amekuwa akichia kazi zake nyingi na wasaani kuto taifa la Tanzaia kutoka na wengi wao kuwa na ukaribu naye.

Mojawapo ikiwa ni colabo alioshirkishwa na msaani kutoka nchini Tanzania Zee chiini ya Kwetu studios.

“Nilikuwa Tanzania kutayarisha project yangu mpya ambayo itashuka soon so hii itakuwa big surprise na game changer kwa upande wangu” alisema CityBoy

Aidha Cityboy amepinga madai kuwa amekuwa akijitenga na wasaani wengine kutoka pwani na kudai kuwa zipo calobo nyingi pamoja na makundi ya wasaani mabao anafanya nao kazi ikiwemo makundi ya dancers ambao amesema aliwahi kuishi nao nyumbani kwa wazazi wake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *