Wamiliki Wa Mashamba Ya Kukodi Taita Taveta Kufika Mbele Ya Kamati ya Bunge

Wamiliki wa mashamba sita makubwa ya kukodi katika kaunti ya Taita Taveta wametakiwa kufika mbele ya kamati ya bunge kuhusu ufugaji ili kujibu maswali kuhusu umiliki wa mashamba hayo.

Kulingana na mwakilishi wadi ya Kasighau Abraham Juma anasema kwa muda sasa kumekua na mzozo kuhusu umiliki wa mashamba hayo na wakati umefika kwa wenyeviti wa mashamba hayo kuweka wazi kuhusu umuliki wa mashamba hayo.

Hata hivyo Juma amewataka wananchi kuwa watulivu wakati bunge la kaunti linapoendesha vikao vyake kubaini jinsi mashamba hayo yanavyomilikiwa. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *