Wakaazi Wa Msambweni Wagadhabishwa Na Chama Cha Jubilee Kutoweka Mgombea

Wakaazi wa eneo bunge la Msambweni wamegadhabishwa na hatua ya chama cha Jubilee kujiondoa katika kinyang’anyiro cha uchaguzi mdogo wa eneo hilo.

Wakaazi hao wameonekana wakilaumu uongozi wa chama hicho tawala kwa kile wanachodai ni kuwanyima haki yao ya kumchagua mgombea wanayempendelea.

Kauli zao zinajiri huku katibu mkuu wa chama hicho akiwashauri wagombea wa chama hicho kutafuta vyama vyengine kama wanahitaji kugombea kiti hicho.

Ni hatua ambayo ilimwacha nje mgombea Sharlet Akinyi almaarufu Mariam njia panda baada ya kuarifiwa kuwa chama cha jubilee hakimezei mate kiti cha Msambweni. class=MsoNormal style=’text-align:justify’>Kauli zao zinajiri huku katibu mkuu wa chama hicho akiwashauri wagombea wa chama hicho kutafuta vyama vyengine kama wanahitaji kugombea kiti hicho.

Ni hatua ambayo ilimwacha nje mgombea Sharlet Akinyi almaarufu Mariam njia panda baada ya kuarifiwa kuwa chama cha jubilee hakimezei mate kiti cha Msambweni.

,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *