Visa 544 vya maambukizi ya Covid-19 zaidi vyanakiliwa nchini Kenya

Kenya leo hii imeandikisha visa 544 vya maambukizi ya korona kutoka kwa sampuli 2,653 kwa muda wa saa 24 zilizopita na kufikisha idadi ya walioambukizwa kuwa watu 22,597 tangu kisa cha kwanza kuripotiwa humu nchini

Akitoa taarifa ya kila siku kuhusu mambukizi hayo katibu mwandamizi katika wizara ya afya dkt.rashid aman amesema kongezeka kwa visa hivyo inatokana na watu kukosa kuzingatia masharti kikamamilifu.

Aidha katibu huyo amesitaka kaunti kuweka mikakati zaidi ya kuzuia kusambaa kwa virusi hivyo kwa kasi.

Kuhusu wagonjwa waliopona kutokana na virusi hivyo,Rashid ametangaza idadi hiyo kuongezeka hususana kwa wale walio chini ya ungalizi wa nyumbani.

Insert Rashid waliopona

Wakati huo uo watu 13 wamepoteza maisha yao kutokana na maambukizi ya korona kwa muda wa saa 24 zilizopita.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *