Viongozi Wakemewa

Aliyekuwa kiongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu katika eneo la Pwani Fikirini Jacobs amewakashifu viongozi wa taifa hili kwa kile alichosema kuwa hawathamini maisha ya mwananchi.

Akizungumza na PwaniFM Fikirini amesema kuwa kiwango cha fedha ambacho taifa hili limekuwa likiazima kutuko kwa mataifa mengine zilistahili hutosha kudhibiti maambukizi zaidi ya virusi vya korona nchini.

Hata hivyo kiongozi huyo ameilaumu serikali kwa kuruhusu mikutano ya siasa kuendelea huku ikisitisha mikutano mingine inayo sababisha watu kukongamana jambo ambalo amehojikuwa lilipeleka ongezeko la mkurupuko wa virusi vya korona.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *