Vikwazo vya Marekani

Marekani leo itawawekea vikwazo zaidiya watu 10 na pia mashirika kwa kujihusisha na mpango wa Ki-Nuklia, Makombora na Silaha wa Iran.

Hayo yamesemwa na afisa mmoja wmandamizi wa taifa hilo, hivyo kusisitiza juu ya vikwazo vya umoja wa mataifa dhidi ya Iran ambavyo Marekani inasema vitaendelezwa licha ya pingamizi za washirika wake na pia maadui.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *