Urais wa Marekani Ndo chanzo kutaka kuniacha

Kanye West anaamini sababu za Kim Kardashian kudai talaka ni kutokana na yeye kuutaka Urais wa Marekani mwaka 2020. Juzi Ijumaa (Feb. 19) Kim K aliwasilisha mahakamani ombi la talaka kutaka kuachana na Kanye.

Baada ya tamko hilo, Kanye alianza kuwatumia watu ujumbe mfupi na wengine kuwapigia simu akizungumzia ishu hiyo. Umeripoti mtandao wa PEOPLE. Malalamiko yake makubwa yamekuwa kwenye majuto, moja wapo likiwa la kuwania Urais wa Marekani kwa sababu Kim hakuliafiki.

SHUKRAN :fASTNEWS

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *