Tunawatakia ndoa njema

Alikiba amethibitisha hawajatengana na mkewe, hii ni baada ya uvumi kuenea sana kwenye mitandao ya kijamii kuwa wawili hao wametengana.
 Amehakikisha kuwa wako pamoja na mkewe na mapenzi yao yanazidi kunoga na hata kuzidi kukuwa baada ya kuposti picha kwenye mitandao ya kijamii wakiwa pamoja na mkewe Amina Khalef
Baada ya mashabiki wake kuona picha yake msanii Alikiba waliwasifia huku wengi wakiwatakia ndoa njema

shukran :fastnews

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *