The Murayas Washerehekea Miaka 7 Ya Ndoa.

Baada ya mivutano na kutoelewana katika ndoa yao kwa madai ya udanganyifu hatimaye The Murayas wamejitokeza na kumwagiana sifa kwenye mitandao yao ya kijamii.

Kwenye mitandao yake ya Instagram na Facebook mumewe Size 8 ambaye no Dj Mo aliandika ujumbe mzito ambao uliambatana na emoji za mapenzi huku akionekena akiomba msamaha na kuhakikisha mashabiki wake kuwa Size 8 atabaki mkewe na hakuna kitakacho watenganisha.

Aliandika hivi “

This is my wife @Size8reborn
Nothing will change till I die , the mother of my children and the foundation of my family ❤️…There’s so much I can say. I will not run or hide …
We’ve had our ups and downs .While reprehensible, the human me is beyond the battle, and I don’t think there can ever be a better moment to say I’m sorry and I love you ❤️ . God chose me for you, I know I drive you crazy at times, but you know nothing good comes without its share of problems…
Through the ups and down we have been together, you know I never back down from a challenge this is no exception. I am blessed to call you MY QUEEN no matter how big the distraction seems.
Together forever babe , LET the world know you my one and only …YOU COMPLETE ME ❤️…
HAPPY 7th anniversary- 7years here we are 😍😍😍”

Naye Size 8 aliandika ujumbe mzito ambao ulionyesha kuwa licha ya yote yaliyotokea yeye anaamini Mungu amewashikilia huku naye akiweka #TheMurayas@7.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *