Tubanane top one kwenye mtandao wa BoomPlay.

Tubanane ni kibao kipya kutoka kwa msanii Adasa , na kimeingia kwenye historia kwa kusikilizwa, kupakuliwa na kusambazwa na mashabiki wa muziki kwenye mtandao wa BoomPlay. Kibao Waah chake Diamond na mkongwe kutoka Congo DRC Koffi Olomide kiko katika nafasi ya pili huku kibao kipya chake msanii Fena Gitu kwajina Ngoma kikichukua nafasi ya Tatu.

Adasa ambaye yupo chini ya lebo inayokua kwa kasi Africa Mashariki ya Dallaz Empire amekua kipao mbele kupendwa na wafuasi wa muziki Africa Mashariki huku akiwa na mda mchache tokea aingie kwenye ulingo wa muziki rasmi. Sauti yake nyororo, uandishi na madoido yake yanampa fursa yakukubalika na wengi kwenye muziki. Shukran changez_ndzai 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *