Trump arudi kazini

Rais Donald Trump  wa  Marekani amerejea  kazini na kufanya mikutano katika afisi yake ya  Ikulu wiki moja baada ya kupimwa na  kupaikana na virusi vya Corona.

Katika ujumbe kwa njia ya video uliotolewa jana,Trump alisema aliwataka Wamarekani wote waweze kupata  matibabu kama yale aliyopewa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *