Tahadhari Ya Ongezeko la Nyoka Imetolewa Eneo La Pwani

Wakaazi wakutoka kaunti za pwani wametakiwa kuweka mazingira safi ili kuepukana na ongezeko la nyoka katika maeneo mengi ya ukanda wa pwani.

Kwenye taarifa kwa vyombo vya habari mshirikishi wa ukanda wa pwani John Elungata amewataka wakaazi wa eneo hili kuhakikisha sehemu wanazoishi wanaziweka katika mazingira ambayo hayaruhusu nyoka kupata makaazi.

Taarifa hii inajiri huku visa vya watu kung’atwa na nyoka vikidaiwa kuongezeka katika kaunti za Kwale Tana River, Kilifi na Lamu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *