Skip to content
Friday, January 22, 2021
Latest:
  • Wadau Wachache Wachukua Fedha Za Kufufua Utalii Pwani.
  • Wavuvi Wanyimwa Wanawake Wa Kuoa
  • Magoha Azuru Pwani
  • Uingereza Yapiga Marufuku Raia Wa Tanzania Na Congo
  • Muungano wa Ulaya wagadhabishwa na Uganda
Pwani FM

Pwani FM

Tafrija Kipwani

  • Habari
  • Burudani
  • Michezo
  • Kimataifa

Taita

FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Mruttu Aisuta Serikali Ya Taita Taveta

13 January 202113 January 2021 Clavery Khonde 0 Comments Mruttu, Taita

Aliyekuwa gavana wa kaunti ya Taita Taveta Mhandisi John Mruttu ameelezea hisia zake kuhusiana na taarifa za kufutwa kazi kwa

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Chama Cha Wiper Chaweka Malengo Ya 2022

8 January 20218 January 2021 Clavery Khonde 0 Comments Taita, Wiper

Chama cha kisiasa cha Wiper  kinalenga kutwa viti zaidi katika bunge la kaunti ya Taita Taveta ikifikia mwaka wa 2022.

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Wanawake Wahimizwa Kupigania Viti Vya Uongozi

3 December 20203 December 2020 Clavery Khonde 0 Comments Haika, Taita

Shinikizo zinazidi kutolewa kwa Wanawake kutoka kaunti ya Taita Taveta kujitokeza kwa wingi kuwania nyadhfa za uchaguzi kwenye uchaguzi mkuu

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Wakaazi Wa Taita Taveta Wahimizwa Kutokata Miti

18 November 2020 Clavery Khonde 0 Comments Miti, Taita

Idara ya kuhifadhi misitu katika kaunti ya Taita Taveta imewarai wakaazi wa kaunti hiyo kuasi dhana potofu ya uchomaji wa

Read more
Habari Latest 

Wamiliki wa maeneo ya burudani kupokonywa leseni Taita Taveta iwapo hawatafuata masharti asema Kamishna

23 October 2020 Joshua Chome 0 Comments Taita, Taveta, vileo

Kamishna wa kaunti ya Taita Taveta Rhoda Onyancha ametoa onyo Kali kwa wamiliki wa vilabu katika kaunti hiyo wanaokiuka sheria za

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Idadi Kubwa Ya Wanafunzi Wamerudi Shuleni Taita Taveta

12 October 202012 October 2020 Clavery Khonde 0 Comments shule, Taita

Hatimaye idadi kubwa ya wanafunzi katika shule kadhaa kaunti ya Taita Taveta wameregea shuleni rasmi hii leo baada ya kulazimika

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Wamiliki Wa Mashamba Ya Kukodi Taita Taveta Kufika Mbele Ya Kamati ya Bunge

24 September 202024 September 2020 Clavery Khonde 0 Comments Mashamba, Taita

Wamiliki wa mashamba sita makubwa ya kukodi katika kaunti ya Taita Taveta wametakiwa kufika mbele ya kamati ya bunge kuhusu

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Mashirika yataka kuwe na uwazi kwenye utumizi wa pesa za umma

26 August 202026 August 2020 Clavery Khonde 0 Comments Taita, uwazi

Mashirika ya kijamii katika kaunti ya Taita Taveta sasa yameitaka serikali ya kaunti hiyo kuwa na uwazi katika matumizi ya

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Tatizo la maji kutatuliwa Taita Taveta

18 August 202018 August 2020 Maximillah Welukhu 0 Comments Maji, Taita

Kampuni ya kusambaza maji katika kaunti ya Taita Taveta ya Tavevo imeanza kutekeleza mradi wa maji unaogharimu shilingi bilioni 2.5, 

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Wazee walalamikia kutofikiwa na fedha za wazee Taita Taveta

13 August 202013 August 2020 Maximillah Welukhu 0 Comments Taita, Wazee

Wito umetolewa kwa serikali kuu kuunda mbinu tofauti ili kuhakikisha kuwa fedha zinazotengwa kwa ajili ya wazee zinawafikia Walengwa. Mwenyekiti

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Follow
@pwanifm

About Us

Pwani FM ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

Pwani FM ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • KBC Radio Taifa
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates