Skip to content
Wednesday, February 24, 2021
Latest:
  • Hofu Yakufurushwa Mwatate
  • Uhuru amteua mwenyekiti mpya wa NHIF – Lewis Nguyi
  • Wanaotumia Mpaka Wa Kenya Na Tanzania Katika Eneo La LungaLungaNi Sharti Wapimwe Virusi Vya Korona.
  • Wazee Wa Zaidi Ya Umri Wa Miaka 70 Wanufaika Na Mradi Wa Inua Jamii
  • Uhaba wa fedha wakumba shule za umma
Pwani FM

Pwani FM

Tafrija Kipwani

  • Habari
  • Burudani
  • Michezo
  • Kimataifa

shule

FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Uhaba wa fedha wakumba shule za umma

24 February 2021 Sylvester Chibero 0 Comments Elimu, shule

Shule zinakodolea macho changamoto za kifedha, huku wakuu wa shule wakijikuna vichwa kutokana na ukosefu wa fedha kuendesha shughuli za

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Utumizi Wa Mihadarati Umetajwa Na NACADA Kama Chanzo Cha Mizozo Shuleni

2 February 20212 February 2021 Clavery Khonde 0 Comments NACADA, shule

Halmashauri ya kitaifa ya kudhibiti pombe na mihadarati NACADA imeelezea wasi wasi wake kuhusiana na ongezeko la mizozo shuleni, jinsi

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Kudumisha Umbali Wa Mita Moja Unusu Shule Itakua Vigumu Kuafikiwa Wasema Walimu

4 January 20214 January 2021 Clavery Khonde 0 Comments shule, Umbali

Huku shule zikiwa zimefunguliwa kote nchini imebainika kuwa kuzuia kutotangamana kwa wanafunzi imesalia changamoto katika shule nyingi. Katika shule ya

Read more
Habari Latest 

Shule hazitafungwa tena asisitiza Magoha

23 October 2020 Joshua Chome 0 Comments asema, hazifungwi, Magoha, shule

Waziri wa elimu professa George Magoha,amethibitisha kwamba hakuna mipango ya kufunga shule tena licha ya ongezeko la visa vipya vya maambukizi

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Idadi Kubwa Ya Wanafunzi Wamerudi Shuleni Taita Taveta

12 October 202012 October 2020 Clavery Khonde 0 Comments shule, Taita

Hatimaye idadi kubwa ya wanafunzi katika shule kadhaa kaunti ya Taita Taveta wameregea shuleni rasmi hii leo baada ya kulazimika

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Wizara Ya Elimu Yahimizwa Kuboresha Miundomsingi Ya Shule

17 September 202017 September 2020 Clavery Khonde 0 Comments Madawati, shule

Huku wizara ya elimu ikiwataka maseremala kutuma maombi ya zabuni za kutengeneza madawati kwa ajili ya shule za msingi na

Read more
Habari Latest 

Baadhi ya wamiliki wa shule za kibinafsi Kwale wabadili uwanja wa shule kuwa shamba

9 September 20209 September 2020 Joshua Chome 0 Comments Kwale, shule

Baadhi ya wamiliki wa shule za kibinafsi kaunti ya Kwale wamelazimika kutafuta mbinu mbadala za kujikimu kimaisha kufuatia kuathirika kwa

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Follow
@pwanifm

About Us

Pwani FM ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

Pwani FM ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • KBC Radio Taifa
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates