Skip to content
Friday, January 22, 2021
Latest:
  • Wadau Wachache Wachukua Fedha Za Kufufua Utalii Pwani.
  • Wavuvi Wanyimwa Wanawake Wa Kuoa
  • Magoha Azuru Pwani
  • Uingereza Yapiga Marufuku Raia Wa Tanzania Na Congo
  • Muungano wa Ulaya wagadhabishwa na Uganda
Pwani FM

Pwani FM

Tafrija Kipwani

  • Habari
  • Burudani
  • Michezo
  • Kimataifa

Kwale

FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

FIDA Yahamasisha Wanawake Kwale

21 January 2021 Clavery Khonde 0 Comments FIDA, Kwale

Shirikisho la mawakili wanawake limeanzisha uhamasisho wa uchimbaji madini  kwa wanawake na wazee katika kaunti ya Kwale. Akizungumza katika kongamano

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Kinamama Wafaidika Kwale

19 January 2021 Sylvester Chibero 0 Comments Kwale

Miradi ya kina mama imewasaidi kujikimu katika kutekeleza majukumu yao ya kimsingi na kusaidia katika jamii zao kuafikia maendeleo mashinani.

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Kero La Ardhi Kwale

14 January 202114 January 2021 Clavery Khonde 0 Comments Ardhi, Kwale

Wakaazi wa Tiwi eneo la  Matuga kaunti ya Kwale wamelalamikia ongezeko la visa vya unyakuzi wa ardhi zao na mabwenyenye

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Hisia Mseto Zatolewa Kuhusu Saini Za BBI

26 November 2020 Clavery Khonde 0 Comments BBI, Kwale, vijana

Siku moja tu baada ya rais Uhuru Kenyatta na kinara wa chama cha ODM Raila Odinga kuzindua rasmi shughuli ya

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Serikali Ya Kwale Yahimizwa Kuwagharamia Wagonjwa Wa Saratani

19 November 2020 Clavery Khonde 0 Comments Kwale, Saratani

Wanawake wanaougua ugonjwa wa saratani katika kaunti ya Kwale wameitaka serikali ya kaunti hio kuidhinisha mpango wa kugharamia matibabu ya

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Walioiba Vipakatalishi Wanaswa Matuga

19 November 202019 November 2020 Clavery Khonde 0 Comments Eilimu, Kwale

Maafisa wa polisi wamefanikiwa kuwanasa majambazi wa tatu pamoja na vipakatalishi tisa vilivyokua vimeibwa katika shule ya msingi ya Boyani.

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Kaunti Ya Kwale Yaanza Shughuli Ya Kupuliza Dawa Kudhibiti Korona

17 November 202017 November 2020 Clavery Khonde 0 Comments Korona, Kwale

Kaunti ya Kwale inalenga kutekeleza shughuli ya upulizaji wa kemikali ya kuua viini kwenye masoko, vituo vya magari, hoteli na

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Boga Aungwa Mkono Na Sharlet

10 November 202010 November 2020 Clavery Khonde 0 Comments Boga, Kwale

Mgombea huru katika uchaguzi mdogo wa Msambweni ulioratibiwa kufanyika Tarehe 15 mwezi December sharlet Mariam amejiondoa katika kinyang’anyiro cha uchaguzi

Read more
Habari 

Watatu Kati ya Watu 10 Kwale ndio Hawana vyoo

23 October 202023 October 2020 Maximillah Welukhu 0 Comments Choo, Kwale

Afisa wa afya ya umma kaunti ya Kwale Redempta Malinda Muendo amesema tangu kuanzishwa kwa ugatuzi nchini idadi ya wenyeji

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Walanguzi Wa Mihadarati Wasakwa Kwale

19 October 202019 October 2020 Clavery Khonde 0 Comments Kwale, Mihadarati

Polisi katika Kaunti ya Kwale wameanzisha msako mkali dhidi ya walanguzi wa dawa za kulevya. Msako huo unalenga kufanikisha kutiwa

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Follow
@pwanifm

About Us

Pwani FM ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

Pwani FM ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • KBC Radio Taifa
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates