Skip to content
Saturday, February 27, 2021
Latest:
  • Rais Joe Biden amepongeza uongozi wa Kenya katika Pembe la Afrika na kujitolea kupambana na ugaidi.
  • Gavana Joho Ajitetea Kuhusu Uhusiano Wake Na Gavana Kingi.
  • Kifo cha Maalim Seif ni mwamko wa vita dhidi ya corona Tanzania
  • BBI:Uhuru aongoza viongozi wengine kupongeza MCAs
  • Oguna Awataka Wazee Waliokosa Pesa Za Inua Jamii Kuwasilisha Malalamishi Yao.
Pwani FM

Pwani FM

Tafrija Kipwani

  • Habari
  • Burudani
  • Michezo
  • Kimataifa

ken1gb

Burudani 

White House yaeleza sababu ya Trump kuwachilia marapper Lil wayne na Kodak Black

21 January 202121 January 2021 Ken Wekesa 0 Comments CodesZaKitaa, ken1gb, pwanifm

Marraper Lil wayne na Kodak Black wako katika orodha ya watu 140 ambao makossa yao yalifutwa nchini marekani kutokana na

Read more
Burudani 

Ringtone afanya Kufuru

19 January 202119 January 2021 Ken Wekesa 0 Comments CodesZaKitaa, ken1gb, mashavmashav, pwanifm, ringtone

Msaani Ringtone Apoko amedai kuwa endapo Mungu hatompa gari aina ya BMW i8 basi atawacha kabisa kuwa msaani wa nyimbo

Read more
Burudani 

Mamamke Trio Mio amfrusha Meneja wiki mbili  baada Trio kuenda shuleni

19 January 202119 January 2021 Ken Wekesa 0 Comments 103.1fm, CodesZaKitaa, ken1gb, mashavmashav, pwani fm

  Mamake Mzazi msaani Trio Mio Irma Sakwa amesema kuwa meneja wa msaani huyo Wilking Fadhili hataendelea kumsimamia mtoto wake.

Read more
Burudani 

Ugovi wa Ali Kiba na Diamond ulijengwa na Queen  Darleen

18 January 202118 January 2021 Ken Wekesa 0 Comments diamond, ken1gb, queen darlin, wasafi

Mama mzazi wa Salum Iddi Nyange anayedaiwa kuwa babake diamond Platinumz amesema kuwa Ugovi kati ya Kiba na Diamond Platunumz

Read more
Michezo 

Ozil atua Uturuki kwa mbwembwe

18 January 202118 January 2021 Ken Wekesa 0 Comments ken1gb, ozil, pwanimwanaspoti

Ozil atua Uturuki kwa mbwembwe Nyota wa Ujerumani Mesut Ozil amefanikisha uhamisho wake toka club ya arsenal na kujiunga na

Read more
Michezo 

Messi alishwa kadi nyekundu baada ya kumpiga mshambulizi wa Athletic Bilbao

18 January 202118 January 2021 Ken Wekesa 0 Comments ken1gb, messi, pwanimwanaspoti

  Nahodha wa Barcelona Lionel Messi  alishwa kadi nyekundu baada ya kumpiga ngumi usoni mchezaji wa club ya Athletico Bilbao

Read more
Burudani 

Sauti sol miongoni mwa wasaani 21 weusi duniani youtube.

13 January 202113 January 2021 Ken Wekesa 0 Comments CodesZaKitaa, ken1gb, sautisol, youtube

 Mtandao wa youtube umewateuwa wasaani 21 wenye asili ya Afrika kote duniani katika mpango wao mpya unaojulikana kama #YoutubeBlackVoiceFund unaopania

Read more
Burudani 

Nadia Mukami kushindana na Diamond, Wizkid na Casper Nyovest tuzo za Mtv mama 2021.

13 January 202113 January 2021 Ken Wekesa 0 Comments CodesZaKitaa, ken1gb, mashavmashav, nadia mukami

Nadia Mukami kushindana na Diamond Wizkid Eddy Kenzo na Casper Nyovest tuzo za Mtv mama 2021.  Msaani Nadia Mukami ameteuliwa

Read more
Burudani 

Nicki Minaj alipa millioni 45 baada ya kusample wimbo bila idhini

13 January 202113 January 2021 Ken Wekesa 0 Comments ken1gb, mashav mashav, nicki minaj

Rapper Nicki Minaj amemlipa dolla 450,000 msaani Tracy Champman baada ya kutumikia wimbo wake bila ya kibali chake. Katika stakabadhi

Read more
Michezo 

Deni la Barcelona la fika Bilioni 1 hawajui la kufanya

12 January 202112 January 2021 Ken Wekesa 0 Comments Barcelona, ken1gb, messi, pwanimwanaspoti

Deni la Zaidi ya euro bilioni 1 inayodaiwa club ya Barcelona  huenda ikaiwacha club hio katika hatari kubwa siku za

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Follow
@pwanifm

About Us

Pwani FM ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

Pwani FM ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • KBC Radio Taifa
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates