Tabia Zakurithi Zatajwa Kama Chanzo Cha Visa Vya Mauaji

Malezi mabaya ndio sababu kuu ambayo imetajwa kama chanzo kikuu cha kusababisha baadhi ya vijana kuwa na msongo wa mawazo na kuwapelekea kutekeleza vitendo vibaya.

Akiongea na pwani fm mwanaharakati wa maswala ya kisaikolojia Collins Bolo ameweka wazi kuwa malezi mabaya pamoja na tabia za kurithi kutoka kwa familia ndio chanzo cha baadhi ya watu kuwa na hasira na mawazo yanayochangia visa vya ajaabu katika jamii.

Kauli yake inajiri baada ya kijana mmjo kutoka Kisii kuwadunga kisu wali wake kisa ambacho kilifanyika baada ya kijana mwengine kuwaua wanafamilia wake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *