Subscribers million moja

Hatimaye msanii Rudeboy aliyekuwa member wa kundi la Psquare amefikisha subscribers million moja kwenye account wa YouTube.
Rudeboy anaendelea kuthibitisha kuwa yeye ni mkali akilinganishwa na kaka ake Mr P tangu watengane na kufanya kazi kama single artists Rudeboy amekuwa akitoa nyimbo back to back.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *