Sitegemei David 😍.
Kulingana na Wahu anaamini kuwa licha ya kuwa katika mahusiano au pia ndoa mwanamke hapaswi kuomba omba hela kutoka kwa boyfriend ama mume wake na ni muhimu mtu ajitume aweze kujihudumia mwenyewe.
Wengi hawajakubaliana na Wahu wakidai ni majukumu ya mwanaume kumuhudumia mwanamke. Na wengine wamemuunga mkono wakidai wanawake lazima wajitume na waache kutegemea Masada kutoka kwa wapenzi wao.