Sina papara ya kusaini mkataba

Taarifa kutoka katika mtandao wa ‘Express’ umeripoti kuwa Manchester United ipo katika mpango  wa kumpa mkataba mpya kiungo, Bruno Fernandes ili kubakia klabuni hapo,  mchezaji huyo ameonesha kutokuwa na papara ya kusaini mkataba huo.papara ya kusaini mkataba huo

 

 

Fernandes amekuwa katika kiwango bora tangu atue klabuni hapo akitokea Sporting Lisbon ya Ureno msimu uliopita.

 

Hadi sasa Fernandes ametupia mabao 18 kwenye mashindano yote msimu huu akiwa na magoli mengi zaidi kuliko mchezaji yeyote katika kikosi hicho kinachonolewa na Ole Gunnar Solskjaer

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *