Shoretire na Diallo wangia kwenye kikosi cha kwanza

Shoretire na Diallo wangia kwenye kikosi cha kwanza

Shola Shoretire na Amad Dialo wajumuisha kwenye kikosi cha manchester united kitakacho kabiliana na vijana wa Real Sociedad.

Mechi hio itachezwa mjini Turin, Ole Gunner Solskjear atakosa huduma za wachezaji Donny Van der Beek na Edison Cavani wanaouguza majeraha ya misuli, hunda pia wakakosa huduma za kiungo Scott Mctominay na Anthony Martial ambao itmlazimu kuangalia hali zao kabla ya mechi ya kesho.

Amad mwenye umri wa mika 18 na Shoretire mwenye umri wa miaka 17 wamekuwa wakifanya mazoezi na kikosi cha kwanza cha machester united.

Shoretire alisaini mkataba mpya wakusalia ugani Old traford na kudinda ofa alizokuwa amepata toka kwa vilabu vya Barcrlona PSG na Juventus.

Kikosi cha Manchester United kilicho safari kinajumuisha De Gea, Henderson, Grant, Bailly, Lindelof, Maguire, Shaw, Telles, Tuanzebe, Wan-Bissaka, Williams, Diallo, Fernandes, Fred, James, Mata, Matic, McTominay, Shoretire, Greenwood, Martial, Rashford

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *