Sauti sol miongoni mwa wasaani 21 weusi duniani youtube.

 Mtandao wa youtube umewateuwa wasaani 21 wenye asili ya Afrika kote duniani katika mpango wao mpya unaojulikana kama #YoutubeBlackVoiceFund unaopania kupanua uwezo wa watayarishaji hao katika mtandao wa youtube.

Kundi la wasaani la Sauti Sol ndio wasaani wapekee kutoka Afrika Mashariki waliopata nafasi katika mradi huo unayo wajumiisha wasaani kutoka Nigeria Marekani Brazil Ungereza na Afrika Kuni.

 Miongoni mwa wasaani walio jumishwa ni Show Madjozi wa Afrika Kusini, Sauti Sol Kenya FireBoy wa Nigeria miongoni mwa waasani wengine.

Aidha Youtube imesema kuwa imeanzisha mradi huo kutoa hamasa na kubadilisha dhana potovu iliopo kuhusu watu weusi.

Pia wanapania kutoa mafunzo kwa wasaani hao kuhusu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *