SAFARI HURU ANGANI

Tanzania imetupilia mbali marufuku iliyokuwa imeweka hapo awali ya kuzuia ndege za humu nchini kusafiri katika taifa hilo baada ya Kenya kuondoa taifa hilo miongoni mwa mataifa ambayo raia wao wanapoingia nchini wanawekwa kwa karantini ya lazima.

Hatua hiyo inawadia baada ya serikali ya nchi hii kuongeza Tanzania miongoni mwa mataifa yanayoruhusiwa kuingia nchini baada ya kulegeza vikwazo vya usafiri.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *