Ringtone amuekea Mungu masharti
#CodesZaKitaa
Msanii wa Gospel nchini Ringtone anaendelea kumuekea Mungu masharti. Na baada ya kusema kwamba kama hatapata gari aina ya BMW i8 baada ya siku arubaini za kufunga na kuomba basi ataacha kufanya mziki wa gospel maana hawezi kuendelea kuomba Mungu ambae hamjibu.
Sasa ameongezea pia gari ni lazima liwe rangi ya njano.