Pambano la raundi nane la kukumbushia enzi zao

Mike Tyson (kushoto) akimsukumia konde Roy Jones Jr katika pambano la raundi nane la kukumbushia enzi zao asubuhi ya leo ukumbi wa Staples Center Jijini Los Angeles ambalo majaji walitoa maamuzi ni droo. Pamoja na hayo, mashabiki waliwakosoa majaji, wakidai Mike Tyson aliyekuwa anapigana baada ya miaka 15 ameshinda. Baada ya pambano hilo na Jones Jr mwenye umri wa miaka 51, Tyson mwenye miaka 54 amesema ataendelea kupigana ‘mapambano ya kirafiki’ kama hayo
shukran fastnews

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *