Nicki Minaj awachana waandalizi wa Tuzo Za Grammy

Rapper Nick Minaj amewachana live wandalizi wa Tuzo za garmmy licha ya kupata Entries 10 katika nomination za tuzo za mwaka wa 2021.

Rapper huyo mwenye umri wa mika 37 amedai kuwa Grammy dinda kumpa tuzo la msaani bora mpy  wa mwaka mwaka wa 2012 licha ya kuwa na nyimbo saba kali zilizokuwa zinasumbua kwenye chati.

 ‘Never forget the Grammys didn’t give me my best new artist award when I had 7 songs simultaneously charting on billboard., ‘They gave it to the white man Bon Iver’

Amendika Nicki Minaj kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Mara ya Mwisho nicki Minaj kupata nomination katika Tuzo za Grammy ni mwaka wa 2015 na amedai kuwa aliwahi kufungiwa kuleza ni kwanini hajawahi kushinda Tuzo za Grammy.

Kando na Nicki Minaj mkali wa RNB Justin Beiber pia ameonekana kukerwa na hatua ya waandalizi wa Grammy kuiweka Album yake katika kitengo cha Hiphop ilihali yeye anauweka mziki wake katika kitengo cha RNB

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *