Nicki Minaj alipa millioni 45 baada ya kusample wimbo bila idhini

Rapper Nicki Minaj amemlipa dolla 450,000 msaani Tracy Champman baada ya kutumikia wimbo wake bila ya kibali chake.

Katika stakabadhi zilizo wasilishwa katika mahakama moja mjini Carlifonia makubaliano hayo yaliafikiwa kabla ya kesi hio kuanza kusikilizwa.

Tracy aliwasilisha kesi mwaka wa 2018 akidai kuwa nicki minaj na rapper Nas walitumia mistari vocalsna melody ya wimbo wake ‘Baby Can I Hold You’ katika collabo yao sorry ambayo baada hawakuachia rasmi katika album ya Nick minaj Queen

Tracy alikuwa ameileza Mahakam kuwa mwezi july mwaka wa 2018 managemenet ya Nickiminaj walikuwa wameomba kibali toka kwake ya kuurecodi wimbo huo upya kauli ambayo yeye binafsi aliikata.

 Kwani amekiri kuwa hatawai ruhusu kazi zake kurudiwa wala kufanywa upya na wasaani wengine.

 Vile vile Champman amedai kuwa Nicki Minaj alikuwa amerekodi wimbo huo wakati management yake ilikuwa inaomba kibali toka kwake.

Aidha Nicki Minaj kupitia mtandao wa tweeter amedai kuwa hakuwa na ufahamu kuhusu wimbo huo wa Champman.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *