Natamani kufanya kazi na Masauti

K2ga msanii toka kings music Tanzania,lebo inayomilikiwa na mkongwe wa bongo flava Alikiba,akifanya mahojiano yake kwa njia ya simu kupitia TSA na Gates mgenge,baadhi ya mambo aliyodokeza nikua,Kings music iko salama sana na kazi ziko nyingi ni mda tuu,Kings hatuna ushindani si tunafanya kazi tuu,pia kuondoka kwa Cheed na killy kujiunga na Konde music worldwide,kumeniathiri kiasi kimawazo kwa mazoea tuliyokua nayo ila vyenginevyo nko sawa,kwa kua naridhika na ninachopata kings,watu watarajie kazi nyingi tuu muda wowote kutoka kwa timu yangu(Tommy flavour,AbdulKiba na Alikiba mwenyewe,wasanii ninao wakubali na natamani pia nifanye nae kazi,ni Masauti,napenda warembo wa Kenya hata nadhani huenda nkafata nyao za bosi wangu Kiba nioe Kenya,`bado’ ndo ngoma yangu mpya ambayo mapokezi yake makubwa nashukuru,na pia mda wowote naeza achia album~K2ga

shukran Tizo Waleo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *