Muungano wa Ulaya wagadhabishwa na Uganda

Muungano wa Ulaya umeghadhabishwa na kuendelea kuhangaishwa kwa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati nchini Uganda baada ya uchaguzi mkuu wa wiki iliyopita.

Rais Yoweri Museveni ambaye amekuwa mamlakani tangu mwaka 1986 alishinda uchaguzi huo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *