Modhor ataka uwanja wa Mombasa kubadilishwa jina

Aliyekuwa Mayor wa Baraza la mji wa Mombasa Ahmed Modhor ameitaka kaunti ya Mombasa kuunda mswada utakao ilizimu kauti hio kubadilisha jina la Uwanja kwa heshima ya mwenda zake Marehemu  Mohammed Hatimy.

Azikungumza katika Fainali za dimba  la Mohammed Hatimy Memorial Modhor amesema kuwa Hatimy alikuwa na mchango mkubwa katika michezo wa soka ndnai ya kaunti ya Mombasa na alipigania pakubwa kuboreshwa kwa uwanja huo kwa muda mrefu.

“Hatimy alishinikiza sana kuboreshwa kwa uwanja wa mombasa county stadium na kumbuka wakati nilipokuwa mayor wa Mombasa, na alishinikiza kuwa kulikuwa na budget maluum iliotegewa uwanja huo kando nakukuza talanta ya soka hapa mombasa” alisema Modhor

Uwanja wa Mombasa kwa unajegwa upya ilikuafikia hadhi za kimataifa.

Mohammed Hatimy alikuwa mwenyekiti wa chama cha Odm Kaunti ya Mombasa na ali wahi kuwa mwenyekiti wa shirikisho la soka nchini KFF.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *