Mizani ya Haki

Mahakama moja nchini Marekani imeiagiza serikali ya Iran kuilipa familia ya afisa wa shirika la ujasusi la FBI aliyetoweka alipokuwa akizuru kisiwa kimoja cha Iran fidia ya dola bilioni 1.4.

Mahakama ilisema kwamba imekubali pendekezo la wataalamu maalum kwamba familia ya  Robert Levinson ilipwe pesa hizo kufidia kutoweka kwake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *