Misspicasah ndani ya Saldido

Msanii nyota wa muziki nchini Kenya, Willy Paul ametangaza rasmi kumasaini mwimbaji wa kike chini ya lebo yake ya @saldido_international.
Willy Paul au King Pozze alitangaza utambulisho huo wa mwimbaji aitwaye @misspicasah kupitia ukurasa wake wa Instagram katika post yake ya Jan. 12 2021.
Pozze baada ya utambulisho, katika post yake aliahidi ujio wa kazi hivi karinuni chini ya usimamizi wa lebo yake hiyo.
Shukran @PresenterDMike

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *