Million ni ishara ya Ushindi.

Msanii wa muziki na mwanasiasa nchini Uganda, Robert Kyagulanyi Ssentamu maarufu kama @bobiwine ameitaja hatua ya kufikia wafuasi Milioni 1+ kwenye ukurasa wake wa twitter kama ishara ya Ushindi.
BobiWine anayegombea nafasi ya urais nchini humo kupitia chama cha upinzani, ameitaja hatua hiyo aliyoifikia siku moja kuelekea uchaguzi mkuu nchini humo, Januari 14.
Shukran @PresenterDMike

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *