Mikikati ya kudhibiti corona Italia

Taifa la Italia limetanza sheria mpya za kudhibiti msambao wa virusi vya korona.

Kulingana na waziri mkuu Giussepe Conte hatua hizo zilihitajika ili kuzuia kufunga kabisa shughuli za kila siku nchini humo.

Kwa mujibu wa sheria hiyo mameya wa miji watapatiwa mamlaka ya kufunga maeneo ya umma baada ya saa nne za usiku,huku sheria kuhusu shughuli za hoteli na mikusanyiko ya vikundi vya watu zikidhibitiwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *