Mikakati ya kuifufua sekta ya Utalii

Serikali ya kaunti ya kilifi imeweka mikakati kabambe ya kuhakikisha kuwa sekta ya utalii inafufuka na kupata sura mpya.

Katibu katika idara ya utalii kaunti ya Kilifi Mary Mkare  amesema kuwa  tayari  mikakati kabambe ya kuuza utalii wa kaunti hiyo imeanza.

Hata hivyo Mwenyekiti wa chama cha wenye mahoteli kaunti ya Kilifi Maurine Awour amefichua kuwa hadi kufikia sasa asilimia 80 ya hoteli kaunti ya Kilifi zingali zimefungwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *