Messi alishwa kadi nyekundu baada ya kumpiga mshambulizi wa Athletic Bilbao

 

Nahodha wa Barcelona Lionel Messi  alishwa kadi nyekundu baada ya kumpiga ngumi usoni mchezaji wa club ya Athletico Bilbao huku Barcelona wakipoteza fainali ya dimba la super Cup.

Kadi hio nyekundu ni ya tatu katika taaluma yake ya soka mbili zikipatikana wakti akiichezea timu yake ta taifa ya Atgetina na Kadi ya jana ilikuwa ya kwanza akiiwajibikia Barcelona.

Mechi hio ya fainali ya super Cup ilichezwa hadi muda wa ziada baada ya kutoka sare ya bao mawili katika muda wa kaiwaida  na Ateletico wakapata bao la ushindi kunako muda wa ziada na kushinda mechi hio kwa mabao 3-2.

Athletic Bilbao ndio mabigwa wa taji la super cup musimu huu baada ya kuishinda club ya Barcelona.

Messi alitimuliwa uwanjani kunako dakika ya 120 baada ya kugonga mchezaji Asier Villalibre nakupelekea msimamizi wa mechi hio kudhibitisha tukio hilo kupitia VAR.

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *