“Mbogi Genje ni watoto wa nani” Ezekial Mutua

Mkurugenzi wa Bodi ya filamu nchini Ezekial Mutua ameonekana kugahsabishwa na nyimbo wanazoimba wasaani wa kundi ya Mbogi Genje.

Kupitia Ukurasa wake wa Twitter Mutua ameuliza iwapo wazazi wa wasaani hao wanajivunia watoto kutokana na nyimbo wanazimba.

Aidha pia ameuliza iwapo watoto hao wana wazazi kando na hao pia amewakosa watoto wadogo mbao wamekuwa wakiachia picha za utupu katika mitandao ya Instagram.

Vilevile Mutua amesema kuwa jukumu lake ni kulinda watoto nchini dhidi ya kupata maudhui potovu na kwa sasa hawatalegeza musimo wao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *