Mauaji ya mtandaoni

Raia mmoja wa Japan amepatikana na hatia ya kuwauwa watu 9 baada ya kuanzisha mawasiliano nao kupitia mtandao wa Twitter,kwenye kesi yenye utata ambayo imelishtua taifa hilo.

Jamaa huyo ambaye alipatiwa jina la Muuaji wa Twitter,Takahiro Shiraishi alitiwa nguvuni mwaka wa 2017 baada ya vipande vya miili ya binadamu kupatikana nyumbani kwake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *