Mashirika yataka kamishna wa Lamu atimuliwe

Mashirika ya kijamii yamemtaka Raisi Uhuru Kenyatta kumwachisha kazi kamishna wa kaunti hio Irungu Macharia, kufuatia kauli yake ya kuwaagiza maafisa wa polisi kuwapiga risasi wahalifu badala ya kuwashika katika eneo la Lamu Mashariki.

Shirika la kutetea haki za  binadamu la Muhiri likiongozwa na Afisa wa maswala ya dharura wa Muhuri Francis Auma limeitaja kauli hio kama ukiukaji wa  haki za binadamu, kwani maafisa wa  usalama wamefunzwa namna ya kukabiliana na wahalifu pasi kuwauwa.

Amesema sharti kamishna huyo asimamishwe kazi, kwani anakiuka haki za  binadamu.

Ametaja kauli hio kuwa huenda ikazua ukosefu wa usalama na mauwaji ya watu wasiokuwa na hatia kuongezeka kaunti hio ya Lamu.

Amewasihi polisi kuwakamata wahakifu hao na kuwafikisha mahakamani badala ya  kuwauwa. style=’font-size:14.0pt;font-family:”Verdana”,”sans-serif”;color:black; mso-themecolor:text1′>Mvurya ameelezea kuwa idadi ya wanfunzi hao inatarajiwa kuongezeka baada ya chuo hicho cha walimu kupanuliwa. ify;line-height:normal’>Insert kagwe higher learning

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *