Masauti aka Kenyan boy awa msanii wa kwanza kupokea Tuzo

View this post on Instagram

🙏🏽🙏🏽 @youtube

A post shared by MASAUTI (@officialmasauti_) on

Msanii wa muziki officialmasauti
wiki hii amepokea tuzo kutoka kwa kampuni youtube baada ya kufikisha 100,000 susbscribers kupitia platform ya muziki ya Youtube itakumbukwa kwamba ndiye msanii wa kwanza kutokea kanda ya pwani kupata tuzo kutoka kwa youtube

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *