Marquees akigongwa na basi niko sawa

Rapper 5o cent kwa mara nyingine tena ameibua uhaasma kati yake na mtoto wake wa kwanza Macquees Jakson baada ya kudai kuwa endapo mtoto wake Marquees atagogwa na basi, hata kuwa na siku mbaya.
Tweet hii imeibua hisia kali toka kwa shabiki zake ambao wanashangaa ni kwanini rapper huyo amekataa kurekebisha mahusiano yake na mtoto wake aliyepata na ex wake Shanika Thompkins.
Imenainika kuwa uhasma huo ulianza mwaka 2008 baada ya Macquees kuamua kuishi na mamake ambaye wakati huo alikuwa amezenguana kinoma na 50 cent.
Rapper huyo pia amewahi kunukiliwa akisema kuwa Macquees ni snitch baada ya kumwona mara kadhaa akipiga picha na watu ambao hakupatana nao.
50 cent pia amewahi kunukuliwa akisema kuwa heri amechukue rapper takeshi 6ix9ine kama mtoto wake badala ya Macquees ambaye ameonyesha kumchukia hadharani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *