Made Fire last night!!

Hii ni taarifa mpya ya Davido inayokuja baada ya kuwa ametembelea nchini Ghana jana akiongozana na baadhi ya wafanyakazi wa lebo yake ya ‘DMW’.
Masaa kadhaa baada ya Davido kuwasili nchini humo, alikutana na Stonebwoy na baadhi video zao zilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii ambazo ziliwaonesha wakirekodi wimbo.