Lil Yase uawa

Rapper Mark Antonyyo Alexander a.k.a Lil Yase wa nchini Marekani ameuawa kwa kupigwa risasi, hatua chache kutoka eneo la studio ya kurekodi alikokuwa mjini San Francisco.
Lil Yase alifariki akiwa na umri wa miaka 25, ambapo inaripotiwa kuwa baada ya kutoka studio alipigwa risasi na kuuawa asubuhi ya Novemba 28 2020 mjini humo. shukran sana presenterDmike