King Kiba’ ametangaza kuachia Album

Msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya, ‘Ali Kiba’ au ‘King Kiba’ ametangaza kuachia Album yake mpya mwanzoni mwa mwaka 2021.

King Kiba katika mahojiano mpya ya moja kwa moja alitangaza ujio wake wa album hiyo mpya tangu aachie album yake ya mwisho mwaka 2008.

King Kiba hakuweka wazi tarehe rasmi ya ujio huo bali alieleza kuwa kufikia mwezi wa sita mwakani(2021) album hiyo itakuwa imetoka rasmi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *