Khaligraph na Sarkodie kuangusha punchlines kwenye track moja

Rapper Khaligraph Jones amefichua kuwa yuko katika maandalizi ya kuachia collabo aliyomshirikisha nguli war app toka nchini Ghan Sarkodie.

Sarkodie ni kati ya marapper maarufu magharibu mwa afrika na mwaka wa 2019 katiak tuzo za BET HIPHOP awards alishinda tuzo ya Best International flow, Kitengo ambacho khaligraph Jones alipata nomination mwaka.

Tuzo hio mwaka huu wa 2020 ilishindwa na rapper Nasty C kutoka afrika Kusini.

Wawili hao ni wakali wamistari huku mashabiki wakidai kuwa huenda hii ndio ikawa ngoma kubwa ya hiphop toka barani afrika mwaka huu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *